Hotuba za Wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu

Hotuba za Wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu

Mishahara Hakuna nyongezaaa woyoooooo...........

Jamani mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaaaaa...... wafanyakazi vumilieni tuuu, kaahidi mwakani mambo yatakuwa poaaaaa.........
Tatizo hatujui unaongea tokea angle ipi,Mjasiriamali,mkata viuno,au mtumikia kafiri,tatizo hii nchi kila mtu anafoka,tambua kwa tamko hili unamalizwa kwa kila kitu ulichotegemea hata wewe.
 
dakika ya 89 maza katupia na kulizamisha jahazi la wafanya kazi
Lakini ile miradi ya sgr na bwawa ni mikubwa sana bila kufanya hivyo mama hawezi toboa, bora alivyowaambia wasubirie mwakani
 
Fao la kujitoa vepeee? Sijaona hata viongozi wa vyama vya wafanyakazi wakiongelea
 
saivi mtu akikusalimu kwa jina la jamhuri ya muingano wa tanzania unamjibu wizi uendelee.

huwezi ukawaambia wafanyakazi wasiwe na mikono-mikono wakati mishahara ni midogo.
 
saivi mtu akikusalimu kwa jina la jamhuri ya muingano wa tanzania unamjibu wizi uendelee.

huwezi ukawaambia wafanyakazi wasiwe na mikono-mikono wakati mishahara ni midogo.
Mshahara haijawahi kutosha hata siku moja
 
Hii Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
Yaani serikali ina pesa za kulipa wabunge hewa lakini haina pesa za kuwalipa wafanyakazi.
Ina tia mashaka.
 
Kuongeza mshahara sio lelemama
Uko sahihi kabisa. Kuongeza mshahara hata wa laki moja kwa kila mfanyakazi ukizidisha na idadi ya wafanyakazi ni billions za pesa. Nchi ilishayumba na miradi mikubwa ni mingi wakati huohuo wafadhili wengi walishajitoa kutokana na makosa ya Jpm.
 
Ukweli mchunguu[emoji24] pesa hakuna ndio ukweli wenyewe ngoja tujenge Daraja kwanza..!
We umeona daraja tu acha roho mbaya mbona kuna miradi mingi inajengwa, alafu hata huko kunakojengwa daraja ni sehemu ya Tanzania.
 
Uko sahihi kabisa. Kuongeza mshahara hata wa laki moja kwa kila mfanyakazi ukizidisha na idadi ya wafanyakazi ni billions za pesa. Nchi ilishayumba na miradi mikubwa ni mingi wakati huohuo wafadhili wengi walishajitoa kutokana na makosa ya Jpm.

Hapo mwanzo umeanza vizuri ila umemalizia vibaya

Bila kuweka miundombinu barabara, umeme, reli, maji, boats na vivuko uzalishaji utaendelea kudumaa, ajira hazitapatikana na mishahara itaendelea kuwa chini
Miradi itekelezwe na kukamilishwa
 
saivi mtu akikusalimu kwa jina la jamhuri ya muingano wa tanzania unamjibu wizi uendelee.

huwezi ukawaambia wafanyakazi wasiwe na mikono-mikono wakati mishahara ni midogo.
Tatizo wenye access ya wizi ni akina Kokoko
 
We umeona daraja tu acha roho mbaya mbona kuna miradi mingi inajengwa, alafu hata huko kunakojengwa daraja ni sehemu ya Tanzania.
Vitu ni vingi siwezi kutaja vyote. Daraja limewakilisha.
 
Back
Top Bottom