Tatizo hatujui unaongea tokea angle ipi,Mjasiriamali,mkata viuno,au mtumikia kafiri,tatizo hii nchi kila mtu anafoka,tambua kwa tamko hili unamalizwa kwa kila kitu ulichotegemea hata wewe.Mishahara Hakuna nyongezaaa woyoooooo...........
Jamani mama alishasema yeye na mwendazake ni kitu kimojaaaaa...... wafanyakazi vumilieni tuuu, kaahidi mwakani mambo yatakuwa poaaaaa.........
Lakini ile miradi ya sgr na bwawa ni mikubwa sana bila kufanya hivyo mama hawezi toboa, bora alivyowaambia wasubirie mwakanidakika ya 89 maza katupia na kulizamisha jahazi la wafanya kazi
Sure wavumilie wafanyakazi.Mchungu kweli
Pia,hii balance sheet ya chama tawala,bado inahitaji plan BUkweli mchunguu[emoji24] pesa hakuna ndio ukweli wenuenwe ngoja tujenge Daraja kwanza..!
HakikaPia,hii balance sheet ya chama tawala,bado inahitaji plan B
Mshahara haijawahi kutosha hata siku mojasaivi mtu akikusalimu kwa jina la jamhuri ya muingano wa tanzania unamjibu wizi uendelee.
huwezi ukawaambia wafanyakazi wasiwe na mikono-mikono wakati mishahara ni midogo.
mkuu huoni watu walivyonuna baada ya goli lile, mama ni akili kubwa hapo kacheza kama peleLakini ile miradi ya sgr na bwawa ni mikubwa sana bila kufanya hivyo mama hawezi toboa, bora alivyowaambia wasubirie mwakani
Ndio maana Lisu yuko kwa amsterdam?Better were colonial days!
Uko sahihi kabisa. Kuongeza mshahara hata wa laki moja kwa kila mfanyakazi ukizidisha na idadi ya wafanyakazi ni billions za pesa. Nchi ilishayumba na miradi mikubwa ni mingi wakati huohuo wafadhili wengi walishajitoa kutokana na makosa ya Jpm.Kuongeza mshahara sio lelemama
We umeona daraja tu acha roho mbaya mbona kuna miradi mingi inajengwa, alafu hata huko kunakojengwa daraja ni sehemu ya Tanzania.Ukweli mchunguu[emoji24] pesa hakuna ndio ukweli wenyewe ngoja tujenge Daraja kwanza..!
Uko sahihi kabisa. Kuongeza mshahara hata wa laki moja kwa kila mfanyakazi ukizidisha na idadi ya wafanyakazi ni billions za pesa. Nchi ilishayumba na miradi mikubwa ni mingi wakati huohuo wafadhili wengi walishajitoa kutokana na makosa ya Jpm.
Tatizo wenye access ya wizi ni akina Kokokosaivi mtu akikusalimu kwa jina la jamhuri ya muingano wa tanzania unamjibu wizi uendelee.
huwezi ukawaambia wafanyakazi wasiwe na mikono-mikono wakati mishahara ni midogo.
Vijana hawana uaminifu,wanakuumiza wewe familia na mkopo wako,wanasubiri uwakabidhi duka,baja,boda na vinginevyo wanakunyoosha,this is insaneMshahara haijawahi kutosha hata siku moja
Mama ameshamaliza yake....hakuna nyongeza hadi mwakani
Chakula inaandaa chakula!
Vitu ni vingi siwezi kutaja vyote. Daraja limewakilisha.We umeona daraja tu acha roho mbaya mbona kuna miradi mingi inajengwa, alafu hata huko kunakojengwa daraja ni sehemu ya Tanzania.