Houichi: Bondia Hassan Mwakinyo kagoma kupigana na Bondia Brandon Tysse kutoka Afrika Kusini

Houichi: Bondia Hassan Mwakinyo kagoma kupigana na Bondia Brandon Tysse kutoka Afrika Kusini

Bongo ukitoboa tu kila mtu anakuchukia mnamuandama sana mdigo wa watu hamjui amepitia mangapi mpaka kuwa hapo mnachambua kila neno analoongea ili mkute makosa mseme ameanza kuringa .

Bongo kweli tuna safari ndefu.
 
Mwaka huu angepigana mapambano mawili, hilo la mil 46 angepokea kisha angepigana tena miezi ya mwisho mwa mwaka kwa dau analolitaka yeye
 
Mkuu jiulize hawa wasanii malipo ya shows zao kuna mtu huwa anapanga thamani yao?

Ada za uhamisho/usajili wa wachezaji wa mpira wa miguu je?

Nadhani ni suala la demand ya mwanamichezo husika kwa wakati huo na jinsi mapromota watakavyoona itawalipa kumpa kiasi anachotaka.
Asante kama ni hivyo kwanini Mwakinyo avuliwe ubingwa kwa kukataa Ofa ya pambano?
 
Mkuu umeeleza vizuri lakini bado hujasema ni 'Nani' hasa ndio anapanga hio thamani? Je kuna mamlaka husika au ni yeye bondia au ni mapatano tu.

Yaani kwa mfano Mwakinyo aliposema hio hela ni ndogo alitumia vigezo gani kujua ukubwa wake,na hao waliotoa hio offer walijuaje ana thamani hio kiasi kwamba lazima akubali, Hapa bondi anawezaje kukwepa uonevu?

Je hakuna mamlaka inayosema kwamba kwa mapambano uliyopogana na upingwa uliochukua mpaka sasa dau lako linaanzia $ kadhaa hadi kadhaa,kwamba anaweza kupatana ndani ya kiwango tajwa?
Daah bro kwan una miaka mingapi tangu uje duniani hadi unashindwa kujiongeza,
Em nambie ni nani waliopanga kuwa ukishinda mechi hata goli 1000 bado point ni 3 au goli 1 bado ni point 3.?
Ishu n kwamba kila mchezo una taasisi yake inayosimamia hvy wao ndio wanapanga taratibu zote kutokana na sheria walizojiwekea.
 
Kama ni hivyo na iko wazi basi Mwakinyo alijimaliza yeye mwenyewe kukataa pambano hilo
 
Kama ni hivyo na iko wazi basi Mwakinyo alijimaliza yeye mwenyewe kukataa pambano hilo
Mm nadhan yuko sahihi, sisi ambao hatupigani tukisikia 20m tunaona ni nyingi ila wenyewe wahusika wanaouona moto kwenye ulingo ndo wanajua thamani ya hy pesa.
 
Bondia Hassan Mwakinyo ahame nchi, kambi popote huko huko Marekani atapata management mpya, sponsorship , kupagiwa mapambano, ushauri mzuri jinsi ya kuhusu kufaidika zaidi kimaslahi ktk ndondi n.k pia kuachana mazingira ya sasa ya ndondi za kiTanzania kwa kwenda kimataifa zaidi.

Mfano ni bondia mtanzania Bruno Tarimo mtazamo wake ktk ndondi umebadilika baada ya kubadili kambi na kuhamia ughaibuni .

Boxer Bruno Tarimo

Bruno Tarimo is an Australian boxer, who competes in the super featherweight division.
As a professional athlete, Tarimo has been performing for 8 years.

Bruno was born in Rombo, Tanzania, on June 16, 1995.
He currently resides in Southport, Queensland, Australia
 
Back
Top Bottom