House4Rent House for rent in Dodoma

House4Rent House for rent in Dodoma

Nyie madalali wa dodoma Mungu anawaona. yaani zile gest zenu bubu baada ya kukosa watu mmeamua kupangisha, vyumba vidogoooo, pesa ya udalali mnakula ya mwezi na mnapandisha bei zaidi ya anayotaka mwenye nyumba.... mlaaniwe!
mimi sio dalali natangaza nyumba inayonihusu
 
Back
Top Bottom