pendochelsea Member Joined Mar 20, 2017 Posts 85 Reaction score 58 Sep 8, 2017 Thread starter #41 Nyati said: Basi tafuta wateja wengine mkuu Click to expand... ok
pendochelsea Member Joined Mar 20, 2017 Posts 85 Reaction score 58 Sep 8, 2017 Thread starter #42 majoto said: Nyie madalali wa dodoma Mungu anawaona. yaani zile gest zenu bubu baada ya kukosa watu mmeamua kupangisha, vyumba vidogoooo, pesa ya udalali mnakula ya mwezi na mnapandisha bei zaidi ya anayotaka mwenye nyumba.... mlaaniwe! Click to expand... mimi sio dalali natangaza nyumba inayonihusu
majoto said: Nyie madalali wa dodoma Mungu anawaona. yaani zile gest zenu bubu baada ya kukosa watu mmeamua kupangisha, vyumba vidogoooo, pesa ya udalali mnakula ya mwezi na mnapandisha bei zaidi ya anayotaka mwenye nyumba.... mlaaniwe! Click to expand... mimi sio dalali natangaza nyumba inayonihusu
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Sep 9, 2017 #43 pendochelsea said: hiyo 10000/= ni ya umeme kwa mwezi Click to expand... mnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu?
pendochelsea said: hiyo 10000/= ni ya umeme kwa mwezi Click to expand... mnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu?
pendochelsea Member Joined Mar 20, 2017 Posts 85 Reaction score 58 Sep 11, 2017 Thread starter #44 Horseshoe Arch said: mnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu? Click to expand... mi nalipaga elfu kumi coz nina vitu vingi but ukipenda unaweza lipa Zaidi kama unaona elfu kumi ndogo
Horseshoe Arch said: mnakadiria vipi matumizi ya umeme ya mtu? Click to expand... mi nalipaga elfu kumi coz nina vitu vingi but ukipenda unaweza lipa Zaidi kama unaona elfu kumi ndogo
Mfumu Senior Member Joined May 26, 2013 Posts 112 Reaction score 49 Sep 11, 2017 #45 Spend your precious time online by working with a Russian advertising agency, simply apply online http://goo.gl/hqf3oe Sent using Jamii Forums mobile app
Spend your precious time online by working with a Russian advertising agency, simply apply online http://goo.gl/hqf3oe Sent using Jamii Forums mobile app