House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

MKUU MBONA YULE DADA KASEMA HUJAMTAFUTA?
 
pole mkuu...kuna ndugu yangu ana nyumba yake nimetoka mpelekea mzungu mwezi uliopita kwa 1.5mil tu dah..
kweli siyo bahat yako jomba
 
Nina amini kama una uwezo wa kodi 1.6 madafu,huwezi kukosa ufahamu/contacts za jambo kama hili,kwa kiasi hicho mjini hapa,kwahiyo endelea tu kurusha roho raia.
 
1,600,000 per month. Hii figure wengi tunaiandika tu ofisini wala hatujawahi kuifikiria kwenye bank account zetu, sasa kama wewe unalipia kodi kwa mwezi, heshma mkuu.
acha tu best...!imebidi niangalie Mara mbilimbili nkawaza Kiwanja changu nashndwa kumalzia laki5 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Dunia haina usawa...
 
πŸ™„ Kwa haya Magepu kweli tutaacha Kuchanganyikiwa???? 1.6M/month only for House rent???? Na bado ukaamua kuua kabisa eti upo teyari Kulipa Kodi ya Mwaka😱😱😱.
Embu tumia Hiyo hela kujenga ya kwako tuone kama Hutomaliza only 2Month na ukaa kwako.

Chaaaa Leka naiyo mleu!
 
1.6m au sioni vizuri?Kwa mwezi?
Aiseee sijui kwanini nilikimbia umande .......
 
unaweza kaa msasani ? kuna nyumba yenye sifa hizo tuwasiliane 0657145555.
 
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mikocheni au Mbezi Beach kwa bajeti ya Sh. 1,600,000 per month.

Nipo tayari kulipa kodi ya mwaka.

Kama kuna mwenye kuwa na nyumba ambayo angalau ina vyumba 4 na inaendana na bajeti hii nitashukuru.
Sina maneno mengi njoo nikupe nyumba bahari beach. 0712464777
Hii ya kwanza ipo tegeta masaiti. Hii ya pili ipo bahari beach
 
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mikocheni au Mbezi Beach kwa bajeti ya Sh. 1,600,000 per month.

Nipo tayari kulipa kodi ya mwaka.

Kama kuna mwenye kuwa na nyumba ambayo angalau ina vyumba 4 na inaendana na bajeti hii nitashukuru.
Na ukitaka za kununua zipo tu nyingi tu siku ukichoka kupanga nitafute nikupe nyumba nzuri itakayoendana na pesa yako 0712464777..... Maeneo tofauti tofauti ikiwemo mbezi, mbweni jkt, bahari beach, ununio , bunju, tegeta na kwengineko
 
Duh! ngoja nitafute pesa,maana budget ya mshikaji kodi kwa mwaka inajenga vyumba viwili na sebule kabisa,watu mna noti,hongera jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…