House For rent

House For rent

Pole mkuu naona mdau hataki bei iwekwe hadharani watu tujue. Ila kwa kuingalia nyumba, mandhari yake na mahali ilipo haipungui USD 1000 (around Tshs.1.33 mil.) hivi kwa mwezi.

Napangisha kwa Tanzanian shillings, hapa tupo tz bana lazima tuenzi mshiko wetu. Pesa si nyingi jamani, ila nahitaji watu wenye kuwa siriaz. Nawashukuru wote walionikontact kwa pm, e mail au hata kwa simu. Nazidi kuwakaribisha na wengine wenye kuhitaji tuwasiliane.

Nyumba iko sehemu nzuri saana, inafaa pia kuweka ofisi kwani iko sehemu inayofikika kirahisi(hata daladala zinafika), mandhari nzuri iliyotulia, usalama wa kutosha kabisa. Ukiweka ofisi/makazi yako hapa, hutakuwa na dukuduku lolote kwani kila kitu kipo sawa!

Karibu
 
Back
Top Bottom