uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Kama vitu hujui uwe unanyamaza kiongozi...Mlandizi ni kata iliyo ndani ya wilaya ya kibahaChief mbona hueleweki kibaha na mlandizi ni maeneo mawili tofauti hayo ujue sasa unaposema kibaha mlandizi unamaanisha nn
Mlandizi nayo kibaha chief,inaanzia kibaha maili moja mpaka mlandiziChief mbona hueleweki kibaha na mlandizi ni maeneo mawili tofauti hayo ujue sasa unaposema kibaha mlandizi unamaanisha nn
Kabisa mkuu,nafikiri Sasa atafahamuKama vitu hujui uwe unanyamaza kiongozi...Mlandizi ni kata iliyo ndani ya wilaya ya kibaha
Mlandizi nayo kubwa eleza locationIna vyumba 4,viwili master bedroom.
Kiwanja kikubwa ,squire meter 1200
Umbali km 1 kutoka morogoro road.
Umeme na maji vipo
Bei milioni 45
Kwaiyo ww unayejua mlandizi kwaiyo ni kata kweli ww kichwa maji ntajie wilaya za mkoa wa pwani zoteKama vitu hujui uwe unanyamaza kiongozi...Mlandizi ni kata iliyo ndani ya wilaya ya kibaha
Vipi kama ungemjibu bila maneno 5 ya kwanza?Kama vitu hujui uwe unanyamaza kiongozi...Mlandizi ni kata iliyo ndani ya wilaya ya kibaha
Kilanga langa mkuuMlandizi nayo kubwa eleza location
Kilanga langaMlandizi nayo kubwa eleza location
Mlandizi iko ndani ya kibaha , na hata ofisi za hamshaur mpya za halmashaur ya wilaya kibaha zipo mbele kidogo ya mlandiz karibu na mto ruvu, zimejengwa mbele kidogo ya mlandizKwaiyo ww unayejua mlandizi kwaiyo ni kata kweli ww kichwa maji ntajie wilaya za mkoa wa pwani zote
Sahihi kabisaMlandizi iko ndani ya kibaha , na hata ofisi za hamshaur mpya za halmashaur ya wilaya kibaha zipo mbele kidogo ya mlandiz karibu na mto ruvu, zimejengwa mbele kidogo ya mlandiz
Uliyem-quote yuko sahihi; Mlandizi Kibaha na Kibaha Mlandizi ni vitu viwili tofauti. Heading ya uzi ni confusing.Kama vitu hujui uwe unanyamaza kiongozi...Mlandizi ni kata iliyo ndani ya wilaya ya kibaha
Ati wee jamaa...mlandizi ndio banana eater?🙂Ina vyumba 4,viwili master bedroom.
Kiwanja kikubwa ,squire meter 1200
Umbali km 1 kutoka morogoro road.
Umeme na maji vipo
Bei milioni 45
View attachment 2930662View attachment 2930665
Yes banana eaterAti wee jamaa...mlandizi ndio banana eater?🙂
Wilaya za mkoa wa pwani ni Bagamoyo, Kibaha, Mkuranga, Kisarawe, Mafia, Kibiti na RufijiKwaiyo ww unayejua mlandizi kwaiyo ni kata kweli ww kichwa maji ntajie wilaya za mkoa wa pwani zote
Nyumba nzuri sana kuna tatizo kwani
Haina tatizo lolote mkuuNyumba nzuri sana kuna tatizo kwani