uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #21
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkimaliza kubishana mje kuuliza sisi wa KibahaWilaya za mkoa wa pwani ni Bagamoyo, Kibaha, Mkuranga, Kisarawe, Mafia, Kibiti na Rufiji
Hakuna wilaya inayoitwa Mlandizi
Wilaya za mkoa wa pwani ni Bagamoyo, Kibaha, Mkuranga, Kisarawe, Mafia, Kibiti na Rufiji
Haujakosea ,kibaha mjini lakini inaishia kongoweMasahihisho:
Kuna Wilaya ya Kibaha Mjini(kuanzia Maili moja hadi Misugusugu, kama sijakosea)
Pia kuna Wilaya ya Kibaha Vijijini(inaanzia inapoishia Kibaha Mjini hadi huko Ruvu)
Mlandizi ndio ipo Kibaha Vijijini
Sawa mkuuHaujakosea ,kibaha mjini lakini inaishia kongowe
Acha uongo hakuna kitu kinachoitwa wilaya ya kibaha mjini ndugu ,Masahihisho:
Kuna Wilaya ya Kibaha Mjini(kuanzia Maili moja hadi Misugusugu, kama sijakosea)
Pia kuna Wilaya ya Kibaha Vijijini(inaanzia inapoishia Kibaha Mjini hadi huko Ruvu)
Mlandizi ndio ipo Kibaha Vijijini
Kwaiyo chief kilangalanga ipo kata gani kwa mtu asiyejuaAcha uongo hakuna kitu kinachoitwa wilaya ya kibaha mjini ndugu ,
WILAYA NI MOJA TU ILA HALMASHAURI NDIO MBILI .
WILAYA YA KIBAHA
* Halmashauri ya kibaha mjini na
*Halmashauri ya wilaya ya kibaha vijijini
Kibaha mjini inaanzia mpakani na kuishia Visiga - miwaleni ,,
Kibaha vijijini inaanzia kata ya mlandizi eneo linaitwa msufini
Hata wewe muuza nyumba pia huelewi Kilangalanga ni kata tofauti na mlandizi
Sema tu nyumba iko mlandizi mbona unazunguka sana dalali......Chief mbona hueleweki kibaha na mlandizi ni maeneo mawili tofauti hayo ujue sasa unaposema kibaha mlandizi unamaanisha nn
IPO mkuuImeshanunuliwa?
Kata yake inajitegemea inaitwa KILANGALANGA HVYOHVYOKwaiyo chief kilangalanga ipo kata gani kwa mtu asiyejua
Ina vyumba 4, viwili master bedroom.
Kiwanja kikubwa, square meter 1200
Umbali km 1 kutoka Morogoro road.
Umeme na maji vipo
Bei milioni 45
View attachment 2930662View attachment 2930665
Haina majini mzee ,na nyumba bado mpya,shida za ghafla tukwa ukubwa wa nyumba na eneo mbona ni bei rahisi? Au nyumba ina majini?
Sawa
Kama n shida ya ghafla basi nimekuelewa, vinginevyo thamani ya hiyo nyumba ni 70m+Haina majini mzee ,na nyumba bado mpya,shida za ghafla tu
Wewe upo sahihi 100%. Hili la Wilaya na Halmashauri ni janga, wengi hawana elimu nalo ndio maana wanachanganya. Tena Kuna Wilaya hapa Tanzania Wilaya ina Halmashauri mpaka 3. Mfano, Wilaya ya Kahama (1) Kahama Manispaa (2) Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu (3) Halmashauri ya Wilaya MsalalaAcha uongo hakuna kitu kinachoitwa wilaya ya kibaha mjini ndugu ,
WILAYA NI MOJA TU ILA HALMASHAURI NDIO MBILI .
WILAYA YA KIBAHA
* Halmashauri ya kibaha mjini na
*Halmashauri ya wilaya ya kibaha vijijini
Kibaha mjini inaanzia mpakani na kuishia Visiga - miwaleni ,,
Kibaha vijijini inaanzia kata ya mlandizi eneo linaitwa msufini
Hata wewe muuza nyumba pia huelewi Kilangalanga ni kata tofauti na mlandizi
Kibaha ni wilaya ambayo ndni yake kuna MandiziChief mbona hueleweki kibaha na mlandizi ni maeneo mawili tofauti hayo ujue sasa unaposema kibaha mlandizi unamaanisha nn