Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Sio mingi miaka 33 ila je una umri gani ukute upo above 45+2b kwa mshahara wa milioni 5 kwa mwezi nitahitaji miaka 2,000000000/5000000=33.3 yrs kuweza kunuua jengo hilo. Mpaka yesu atakapo rudi nipo nitalinunua! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Biashara yako au mshahara? Usiniambie kuna kampuni bongo zinalipa watu 5 million2b kwa mshahara wa milioni 5 kwa mwezi nitahitaji miaka 2,000000000/5000000=33.3 yrs kuweza kunuua jengo hilo. Mpaka yesu atakapo rudi nipo nitalinunua! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
zipo, but very few..... hasa za wazungu, hao wanalipa....dola elfu 2 wanakupaBiashara yako au mshahara? Usiniambie kuna kampuni bongo zinalipa watu 5 million
Hebu kama una kalkuleta hapo nipigie na mimi wa laki tano kwa mwezi!2b kwa mshahara wa milioni 5 kwa mwezi nitahitaji miaka 2,000000000/5000000=33.3 yrs kuweza kunuua jengo hilo. Mpaka yesu atakapo rudi nipo nitalinunua! 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
kwa nyinyi vijana mpaka miaka 33.3 muda mrefuSio mingi miaka 33 ila je una umri gani ukute upo above 45+
Mbona mwaka huu Hizo pande nyumba zinauzwa sana. Wenyewe wanataka kuhama?GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH
ROOMS 6
ZOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET
PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Kuna kutumia pia mkuu.kwa nyinyi vijana mpaka miaka 33.3 muda mrefu