House for sale,located at kunduchi beach daressalaam tanzania, price tsh 2billions, negotiable

Dalali_wa_kimataifa

Senior Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
182
Reaction score
176
GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH

ROOMS 6
ZOTE MASTER

SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET

PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
πŸ‡ΉπŸ‡ΏCall/WhatsApp +255758844717
 

Attachments

  • dalalismart_tegeta_madale-20250421-0001.mp4
    21 MB
2b kwa mshahara wa milioni 5 kwa mwezi nitahitaji miaka 2,000000000/5000000=33.3 yrs kuweza kunuua jengo hilo. Mpaka yesu atakapo rudi nipo nitalinunua! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Sio mingi miaka 33 ila je una umri gani ukute upo above 45+
 
Biashara yako au mshahara? Usiniambie kuna kampuni bongo zinalipa watu 5 million
 
Hebu kama una kalkuleta hapo nipigie na mimi wa laki tano kwa mwezi!
 
GHOROFA YA KIFAHARI SANA HII
INAUZWA IPO KUNDUCH BEACH

ROOMS 6
ZOTE MASTER

SEBULE KUBWA
JIKO,STOO
DINING, PUBLIC TOILET

PLOT SIZE SQM 1720
INA HATI MILIKI SAFI YA WIZARA
πŸ‡ΉπŸ‡ΏCall/WhatsApp +255758844717
Mbona mwaka huu Hizo pande nyumba zinauzwa sana. Wenyewe wanataka kuhama?

Mtushtue na sisi kama kuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…