Nakubaliana na wewe, naona anaipenda nyumba yake, nyumba ni ya kawaida sana, inaonekana tayari built up space ni zaidi ya 50% ya eneo zima, na jinsi ilivyokaa huwezi kuibadilisha na kui upgrade, paving blocks za kizamani, nyumba yenyewe imechakaa, ukiniuliza bei labda 200m huko ulikoanzia hakuna watu