Emmanuel Akim
Member
- Jun 9, 2017
- 71
- 16
Post sent using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ni bei nzuri trna nyepesi...Khaaaaa hiyo nyumba bei gani?
Sababu ipo mbezi au?
Nitaendelea kuishi tandika
Nakubaliana na wewe, naona anaipenda nyumba yake, nyumba ni ya kawaida sana, inaonekana tayari built up space ni zaidi ya 50% ya eneo zima, na jinsi ilivyokaa huwezi kuibadilisha na kui upgrade, paving blocks za kizamani, nyumba yenyewe imechakaa, ukiniuliza bei labda 200m huko ulikoanzia hakuna watuKhaaaaa hiyo nyumba bei gani?
Sababu ipo mbezi au?
Nitaendelea kuishi tandika