Hii Nyumba ilijengwa lini? Naona kama vile haina fence, je ni kweli haina fense! Je eneo LA Nyumba (ukiacha eneo LA kiwanja) ni kiasi gani? Kama inawezekana tupia view ya mbali kidogo ili kuweza kuona mazingira yaliyozunguka Nyumba, na aina za Nyumba za majirani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.