House girl aliyemkata shingo mtoto wa mwajiri wake akamatwa na polisi

House girl aliyemkata shingo mtoto wa mwajiri wake akamatwa na polisi

Kamanda Muliro amesema vijana wake wamefanikiwa kumkamata dada wa kazi aliyemjeruhi mtoto wa boss wake huko Goba

Muliro amesema ulifanyika msako mkali kwenye misitu yote ya Goba na hatimaye dada akakutwa amejificha kwenye Nyumba ambayo haijakamilika kujengwa( Pagale)

Source: ITV
 
Usikute alikuwa anateswa sana na muajiri wake .
hii inafikirisha pia ...maana kuna waajiri wengine roho zao aisee ni balaa....nadhani ni vizuri kwa wenza kabla ya kutafuta mtu wa kuishi nae kwa ajili ya kuwasaidia wajichunguze/wachunguzane roho zao...wakiona wana mapungufu ni bora wakomae waishi wenyewe tu sababu wanaendana
 
Back
Top Bottom