Kamanda Muliro amesema vijana wake wamefanikiwa kumkamata dada wa kazi aliyemjeruhi mtoto wa boss wake huko Goba
Muliro amesema ulifanyika msako mkali kwenye misitu yote ya Goba na hatimaye dada akakutwa amejificha kwenye Nyumba ambayo haijakamilika kujengwa( Pagale)
Source: ITV