House Girl amuathiri mtoto

Pole sana mtu mzima...najua ukubwa dawa!enzi zenu hayakuwepo haya
 
dah mahousegirl wengine wanaweza kusababisha ukaishia kwenye jengo la serikali walaaaahi
 
Ee Mwenyezi Mungu tulindie wanetu, mpe pole sana huyo rafiki yako. wapendwa sio hilo pekeyake yapo mambo mengi wachafu ambayo wadada wa kazi wanaweza kuwafanyia wanetu. ni kumuomba Mungu tu awalinde. nimeumia sana kwani nimefikiria angekuwa wangu, ningemfunza adabu kwanza then nampeleka rumande akanyee debe. . INASIKITISHA SANA!!!!!!!!
 
watoto wa miaka hii nawashangaa sana,
jirani yangu mtoto wake wa kiume wa darasa la pili,
siku nyingi alishaanza kufanyiwa vitendo vichafu kwenye mwili wake,
yaani wao wakitoka shule wanajifanya kucheza gololi hadi kagiza kanaingia ndo wanahamia
kwenye maeneo ya giza wanaanza kufanyiziana hayo maovu, kweli hali ni ngumu sana hasa upande wa malezi ya watoto wetu.

sasa katoto kadogo kanakuwaga na stimu huko kunako?
 

tutasikai mengi kuelekea kwenye dot.com
 
dah...., hii kiboko. atakae oa huyo mtoto atapata tabu sana. akitaka kula mzigo lazima aingie chumvini maana stim za huko kunako kamezianza bado katoto.....,
 
Mbona habari hii imeletwa huku? Ina maana stori hii ni ya kubuni tu, au?
 
Doh, kweli dunia ni tufwe linalozunguka.....!! Vitu vingine visikie kwa jirani yako usiombe vimkute mtoto wako....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…