Yaani wewe unataka kuhalalisha ufuska na hsegal ?,
na mkeo akijihalalisha na hseboy je itakupendeza machoni pako?,
acha kuhalalisha haramu iwe halali wewe,
hsegal kwa mwanaume(boss) wake ni haramu,
vivyo hivyo hseboy kwa mwanamke (boss) ni haramu.
Ukitaka kufanya ufuska fanya nje ya nyumba yako,
ukiendekeza kufanya ufuska ndani ya nyumba yako ipo siku,
utafanya ufuska na watoto/dada/mama zako kwa kisingizio cha eti ni ''mwanamke'''
hsegal/hseboy atapata mpenzi ya nje ya nyumba anayofanyia kazi, lakin siyo ndani,
ni haramu,dhambi,kosa,shubiri ndani ya hiyo nyumba na jamii nzima.