BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Rasilimali zipi? Ndo wanavyo wadanganya hao CCM wenu?
Hapo point ni moja tu. Kuruhusu makampuni yajichukulie raslimali .Lisu ni karai tu .beberu linatupenda sana hadi lisiwakamate wanaouwa wenzetu kwenye ardhi ya beberu hadi lisafiri maili zote kuja kutusikitikia