BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hapo point ni moja tu. Kuruhusu makampuni yajichukulie raslimali .Lisu ni karai tu .beberu linatupenda sana hadi lisiwakamate wanaouwa wenzetu kwenye ardhi ya beberu hadi lisafiri maili zote kuja kutusikitikia
Utaelewa tuRasilimali zipi? Ndo wanavyo wadanganya hao CCM wenu?
Mkuu nimecheka Sana alfajiri yote hii!Hahaha mgeweka na tafsiri ya kulumumba, uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA wakiamka utasikia " mitano tena" hata huwa hawaelewi mada inahusu nini.
Watanzania huwa hatuchaguliwi raisi na mtu yeyote wa nje tunaehukuru Marekani na Amsterdam kuonyesha kuwa Wana Mgombea wao wanayetaka awe Raisi wetu majibu tutawapa huyo Mgombea wao watanzania hatutampa kura kwa sababu yao.Ni heri wangeacha tu mchakato wetu uendelee hii interference Yao itamgharimu Mgombea wao Lisu na ChademaNa hapa ndo TISS wakune vichwa. Awe Raisi Magufuli tuingie kwenye matatizo ndani ya nchi na tuwekewe vikwazo vya kiuchumi na viongozi wetu wahitajike kwenye mahakama za kimataifa kujibu tuhuma zao au Awe Raisi Tundu Lissu , nchi Istawi kiuchumi na maisha ya wananchi yastawi kwa maendeleo ya kweli na furaha na amani tele kutokana na mfumo mpya wa kiutawala na maendeleo atakaouweka Tundu Lissu?
Hakuna watanzania watakaompa kura muuaji , mbaguzi na mwenye roho mbaya magufuli wako. Labda nyie warundi wenzakeWatanzania huwa hatuchaguliwi raisi na mtu yeyote wa nje tunaehukuru Marekani na Amsterdam kuonyesha kuwa Wana Mgombea wao wanayetaka awe Raisi wetu majibu tutawapa huyo Mgombea wao watanzania hatutampa kura kwa sababu yao.Ni heri wangeacha tu mchakato wetu uendelee hii interference Yao itamgharimu Mgombea wao Lisu na Chadema
Sisi tumetoka kwenye ujamaa we hate to the maximum international interference in our internal matters especially elections
Huyo mgombea wenu mpelekeni Marekani akagombee huko sisi hatumtaki
Mtanzania mswahili mwenzetu Magufuli tunampa mitano Tena nyie bakini na kingereza chenu na mwongea kingereza wenu mbelgiji Tundu Lisu