House of the Dragon Special thread

Nnacho kitabu.
Mambo ni Mengi nakisoma taratibu ( ndio kwanza nipo after death ya Aegon the conq.....).
Ila wanatwist baadhi matukio haiwi kama kwenye kitabu.

Nakipataje mkuu Kama unaweza nitumie au kunipa utaribu wa kukipata..natanguliza shukrani
 
Episode 9

Rate: 9/10

Ndo nimeimaliza now,

Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
Ha ha ha that scene was epic Aisee.
 
Episode 9

Rate: 9/10

Ndo nimeimaliza now,

Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
House of Dragon yakawaida mno ila wazee wa kusifia ni kuipa promo isiyostahili ,Bora nirudie Game of Thrones mara mia
 
Kiukwelii Imepoaaa mnooo yani imepoaaa mpaka mwisho... Ile sio Action movie ni hadithii tuu mamaeee
 
Kale kademu keupe kanalia vzuri vile jinsi kalikuwa kanapigwa miti.
 
Lakini pia kulikua na series ya wale White walkers ambayo ilikua ni miaka 1000 kabla ya matukio ya GOT,HBO wakaicancel. Hii House of the Dragon ndo ikapewa Go ahead
Tegemea kuwaona white walkers kwenye season zijazo itakuwa ndo vita kubwa
 
Hii ya Jon Snow ishaanza kushutiwa huko tutegemee kuiona nafikiri 2024
 
Yule dogo kijicho mpuuzi sana.

Anapenda battle Kila saa[emoji1787]

Sasa anapeleka kilio huko king's landing

Yeye kuwa yule dragon mkubwa kunampa kiburi.

Nimeona pia daemon ana dragon mkubwa

Tutegemee itanoga sana season 2
 
Yule dogo kijicho mpuuzi sana.

Anapenda battle Kila saa[emoji1787]

Sasa anapeleka kilio huko king's landing

Yeye kuwa yule dragon mkubwa kunampa kiburi.

Nimeona pia daemon ana dragon mkubwa

Tutegemee itanoga sana season 2
Vermox kama sijakosea ni dragon wa king Jahaerys yule tuliyemuonq mwanzon kabisq mwa episode ya 1 wakat anachagua mrithi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…