Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
- Thread starter
- #281
Habari za kusikitisha ni kwamba Season 2 ya House of The Dragon itatoka 2024.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nnacho kitabu.
Mambo ni Mengi nakisoma taratibu ( ndio kwanza nipo after death ya Aegon the conq.....).
Ila wanatwist baadhi matukio haiwi kama kwenye kitabu.
Ukisearch tu unapata kaka sio kigumu kupata.....Nakipataje mkuu Kama unaweza nitumie au kunipa utaribu wa kukipata..natanguliza shukrani
Ha ha ha that scene was epic Aisee.Episode 9
Rate: 9/10
Ndo nimeimaliza now,
Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Episode 9
Rate: 9/10
Ndo nimeimaliza now,
Uwiiiiiii nimependa sana Princess Rhaenys alivyovamia na Dragon wake, nilipiga makelele na kuruka kuruka [emoji1787] nilitamani Dragon angemburn baba ake Alicent [emoji2959]
Say what now?[emoji44][emoji44][emoji44]Habari za kusikitisha ni kwamba Season 2 ya House of The Dragon itatoka 2024.
Nimetoka kuishusha mda mrefu telegramBREAKING;
Episode 10 imeleak
Tegemea kuwaona white walkers kwenye season zijazo itakuwa ndo vita kubwaLakini pia kulikua na series ya wale White walkers ambayo ilikua ni miaka 1000 kabla ya matukio ya GOT,HBO wakaicancel. Hii House of the Dragon ndo ikapewa Go ahead
Hii ya Jon Snow ishaanza kushutiwa huko tutegemee kuiona nafikiri 2024Zipo series kama nne hivi ambazo zipo kwenye matengenezo.
- itakua inamuhusu Jon Snow akiwa huko beyond the wall so tutegemee kuona baadhi ya character waliokuwepo kwenye GoT
- 10000 Ships: Hii itakua inamuhusu Mwanamke mmoja aitwae Nymeria ambae baadae alikuja kua mwanzilishi wa falme ya Dorne. Ambapo ni kwao na Martell family
- 9 Voyages: itakua inamuhusu Corlys Velaryon aka Sea Snake tumemuona kwenye House of Dragons.
- The Tales of Dunk and Egg: Hii itakua inamuhusu Lord Commander Ser Duncan (Dunk) na Aegon V (Egg)
Mkuu kwa ulimwengu wa GOT, story ndio inayotengeneza action, sio kila episode utaona action hapana,Kiukwelii Imepoaaa mnooo yani imepoaaa mpaka mwisho... Ile sio Action movie ni hadithii tuu mamaeee
Vermox kama sijakosea ni dragon wa king Jahaerys yule tuliyemuonq mwanzon kabisq mwa episode ya 1 wakat anachagua mrithi wakeYule dogo kijicho mpuuzi sana.
Anapenda battle Kila saa[emoji1787]
Sasa anapeleka kilio huko king's landing
Yeye kuwa yule dragon mkubwa kunampa kiburi.
Nimeona pia daemon ana dragon mkubwa
Tutegemee itanoga sana season 2