House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

kama ni hivo inipitie mbali siwezi kuipenda maana watoto nilionao kila nachotizama na wenyewe wanataka kuangalia. Napenda films za mambele ila mambo ya homosexuals yananikera sana kwa kweli.
Hii series sio ya kuangalia na watoto,hata GOT. Hii episode 1 tu kuna minyanduano japo sio ya same sex
 
Au ndo unasubiri season iishe[emoji1787]
hapa kuna wapuuzi washaaribu mamboo siwezi subiri aiseee 😀 😀 😀 vipi the walking dead wapo piaa maana wale ndo nawaeelewa yanii
 
Hapana Mkuu.

Hii series inazungumzia mwanzo na Mwisho wa House Targaryen (Targaryen civil war) wakigombea Iron throne ambapo ilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya GOT kuanza.

Hii series inatokana na kitabu kinaitwa 'Fire and Blood' cha George R R Martin
 
hapa kuna wapuuzi washaaribu mamboo siwezi subiri aiseee 😀 😀 😀 vipi the walking dead wapo piaa maana wale ndo nawaeelewa yanii
Lakini pia kulikua na series ya wale White walkers ambayo ilikua ni miaka 1000 kabla ya matukio ya GOT,HBO wakaicancel. Hii House of the Dragon ndo ikapewa Go ahead
 
Haha we kaicheki Mkuu uje utoe marks zako hapa[emoji38]
 
Baada ya muda sasa tunarudi hewani na mzigo tulivu kabisa.
 
Lakini pia kulikua na series ya wale White walkers ambayo ilikua ni miaka 1000 kabla ya matukio ya GOT,HBO wakaicancel. Hii House of the Dragon ndo ikapewa Go ahead
Kule kwenye GOT White Walkers niliwakubali sana..Wazee wa mishe mishe za kibabe mno.
 
Wazee wa kichapo,episode ninayoikubali mpaka Leo ya white walkers ni 'Hardhome' waliua karibu kijiji kizima
 
Wale jamaa walikua na amsha amsha sana..na hii wakiweka hizo horror parties itakaa poa pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Humu kuna mapigano ya dragons zaidi.

Vhagar na Caraxes (dragon wa Daemon) watakuja kupigana,tutaona kwenye season zinazokuja huko
 
Back
Top Bottom