Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Bonge la seri3s, episode 1 imetupa kile tunachokihitaj kwa sisi fans wa GOT,
Daemon huyu mwamba yuko ruthless, yani kama amgekuwepo kwa GOT mapema sana angekuwa ashaenda kuattack kings landing.
''Aegon called his dream A Song Of Ice And Fire''
9.8/10
Mkuu ulishawai kuiona "Breaking Bad"Sudhani kamq kuna series itakuja kufika level ya GOT SIDHANI
Ndio naiangalia, nipo season 2Mkuu ulishawai kuiona "Breaking Bad"
Kosa alilolifanya Robb stark kumchagua Talisa badala ya mtoto wa Walder Frey ndio hilo anafanya Viserys kumchagua AllicentMaamuzi aliyofanya Viserys ndio mwanzo wa vurugu, naona kabisa ep 3 ikienda kuwa bonge la episode.
Otto nikama LittleFinger versio 2 n Lannister.
True...hicho kitu kitamgharim kama kilovyomgharim Robb stark kwenye The red weddingKosa alilolifanya Robb stark kumchagua Talisa badala ya mtoto wa Walder Frey ndio hilo anafanya Viserys kumchagua Allicent
Ep 3 nahisi kutakua na mikong'otoMaamuzi aliyofanya Viserys ndio mwanzo wa vurugu, naona kabisa ep 3 ikienda kuwa bonge la episode.
Otto nikama LittleFinger versio 2 n Lannister.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema hao wanakutana na spoilerArostooooooo [emoji30]
Kheir yao ambao hawajaianza
Ni huzuni Kwa kweli[emoji26]Arostooooooo [emoji30]
Kheir yao ambao hawajaianza
Jumapili naona mbali[emoji1787]. Ila haya mambo ya kupeana kdg kdg HBO wanazngua Bora wangekua wanamwaga mzigo wote km Netflix[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema hao wanakutana na spoiler