House of the Dragon Special thread

Umetishaa,
Mimi bado bado kuchagua character naizoom kwanza, japo Daemon kanifurahisha me hua napenda wale watu machachari wenye mambo ya kukera wengine [emoji23]
 
Huyo jamaa me bado simuamini nahisi itakua katumwa na Baba yake Alicent amchunguze princess.
Inawezekana ni spy,
Ngoja tuone me sijamuwekea akilini kabisa,

Kumbe Queen na Princess watakuja kukua yaani wataletwa wengine kuonesha wamekua wakubwa, ndio nimeona leo katika pita pita zangu
 
Inawezekana ni spy,
Ngoja tuone me sijamuwekea akilini kabisa,

Kumbe Queen na Princess watakuja kukua yaani wataletwa wengine kuonesha wamekua wakubwa, ndio nimeona leo katika pita pita zangu
Yeah actors wanne watabalishwa wakikua Princess,Allicent na wale watoto wawili WA Corlys Valerion. Lakini mpaka Episode 5 au 6 ndo watabalishwa Queen na princess
 
Kuelewa zaidi kuhusu Story ya House of the Dragon angalia hii video hapa chini.

Warning [emoji3544]

SPOILER ALERT [emoji3544][emoji3544][emoji3544][emoji3544]

 
THE MAKING OF EPISODE 3.

Aisee hawa wenzetu wanapiga kazi kwelikweli,acheni tu wapige pesa.

 
Series nzuri. Kinachonifurahisha kwenye hizi series za Game of thrones hakuna adui wala mwema. Kila mtu na maslahi yake. Kama huna subira kama mimi ya kusubiria episodes tafuta Princess and the queen, soma weekend moja na upate utulivu.
 
Ep 4

Rate 7/10,

Bado najiuliza ndio Daemon ana njaa ya utawala namna ile hadi am manipulate his niece [emoji849],

What will happen to Princess as Usichana wake umeondolewa na yeye ameficha ukweli huku Daemon amejibebesha lawama kua kamtoa yeye,

Nimependa King alivyomtoa his Hand yule Baba ana tamaa sana ya Throne ila nina mashaka usalama wa King utazidi kua mashakani,

Waiting for 5 ep.
 
Kuhusu usichana wa princess nadhani sio ishu sana, ndio maana king alimuagiza grand maester amletee ile dawa ya kutolea mimba.

To get rid of any unwanted consequences kitu kama hicho alisema, nadhani hakumaanisha usichana pale ila in case kapata mimba, wenda siko sahihi pia.

Daemon aisee kweli kama madaraka ni anayataka. Utadhani Loki.
 
Mnanitamanisha ila ngoja niendelee kukomaa mpaka ziishe ndio ntazipakua zote kwa mpigo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Uko sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…