Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Umetishaa,Nitalirudisha la Vinchii soon.
Wakati naanza kucheki GOT nilipomuona tu Jon snow hapo hapo nikamchagua kua my favorite character na sikukosea ndio akaja kua sterling. So mimi nimebet kwa Criston, natumaini atakuja kua mkubwa huko mbeleni japo kweye vitabu Rhynaera na Criston walikuja kua maadui.
Mwingine ninayemuangalia ni Laenor Velaryon mtoto wa Corlys. Ngoja tuone mbeleni huko
View attachment 2347308
Mimi bado bado kuchagua character naizoom kwanza, japo Daemon kanifurahisha me hua napenda wale watu machachari wenye mambo ya kukera wengine [emoji23]