Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,500
- Thread starter
- #141
[emoji23][emoji23][emoji23]ni mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Rings of Power bado sijaiona,Sorry, nje ya mada.
Nimeanza The Lord Of The Rings : The rings of power.
Binafsi naona iko slow paced ( unlike The House Of The Dragons ) yet very engaging, top notch visuals and characters development.
Just like The House Of The Dragons, can't help but say i am hooked and now can't wait for episode 3.
Naipa 8/10.
Kwa walioiangalia mmeonaje ?
Nimeipa 9/10,Ep 03
Rate: 7/10
Ep, rate 9/10Ep 03
Rate: 7/10
Mtoto wa kike ndo choosen one kwaajili ya Iron throne kama uliangalia Kwa makini umeona Yule mnyama mweupe (White Hart) alitokezea kwake wakati kwenye mawindo ya kusheherkea Yule mtoto wa kiume wanayetaka awe king (Aegon II) hawakupata White Hart walipata brown Hart.Nimeipa 9/10,
Daemon kanifurahisha sana,
Ila King yuko weak sana hadi anakera bora amuachie Mtoto wake wa Kike angalau
Daemon mnyama Ila scene niliyopenda zaidi ni pale princess alivyokua anarudi kutoka porini akiwa na wild boar kwenye farasi.Ep, rate 9/10
Daemon [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
noma snaaDaemon mnyama Ila scene niliyopenda zaidi ni pale princess alivyokua anarudi kutoka porini akiwa na wild boar kwenye farasi.
Episode ya Leo rate yako ni ngapi MkuuWakuu naitazama right now. My favorite Character ni ser Criston Cole
My fav ni Rhaenyra TargaryenWakuu naitazama right now. My favorite Character ni ser Criston Cole
Ungesema ukitoa BREAKING BAD ndio inakuja GOT.Sudhani kamq kuna series itakuja kufika level ya GOT SIDHANI
Why umebadili jina?Wakuu naitazama right now. My favorite Character ni ser Criston Cole
See si ishafika hadi ssn 2,Nasubiri hizi ziishe ndiyo nizianze[emoji39]
1. House of the dragon.
2. Lord of the rings- The rings of power.
3. See.