Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Hii series ni nzuri kiasi chake, ila mpangilio wake wa Matukio, Character development yake, Pia mpaka sasa bado ipo almost katika one kingdom, na sijui itakuwa na seasons ngapi na labda ngoja tuone introduction ya characters wengine wapya.
Ila ikiendelea hivi Itakuwa bado Sana na mbali sana kuleta ule msisimko wa GOT.
Hii naona Kama ipo very straightforward
Ila ikiendelea hivi Itakuwa bado Sana na mbali sana kuleta ule msisimko wa GOT.
Hii naona Kama ipo very straightforward