Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ikiwa na mafanikio makubwa kuna uwezekano ikawa na 5 seasons.Actor tutakaokuwa nao kuanzia ep ya 8 ndio hao hao watakaoendelea mpk mwisho wa series.
Nb.
Wapo watakaokufa n wapo watakaongezeka kadri series itakavyokuwa inaendelea
HOTD, huenda ikawa na misim 3-4
David Weis na Mwenzake walitukatili sana ,ile battle of winterfel ingefaa kuwa main theme ya season nzima 8 n 9, then season zinafata ndio ingekuwa kings landingKama ikiwa na mafanikio makubwa kuna uwezekano ikawa na 5 seasons.
GOT ilitakiwa iwe na season 10-12 Kwa mujibu wa mwandishi wa kitabu George RR Martin lakini Show runners Dan and Dave walikataa walitaka wamalizane na GOT sababu walikua wamepata project nyingine ya Star wars.
Duh!! Wenzetu wanajipanga . Ngoja tukae mkao wakulaZipo series kama nne hivi ambazo zipo kwenye matengenezo.
- itakua inamuhusu Jon Snow akiwa huko beyond the wall so tutegemee kuona baadhi ya character waliokuwepo kwenye GoT
- 10000 Ships: Hii itakua inamuhusu Mwanamke mmoja aitwae Nymeria ambae baadae alikuja kua mwanzilishi wa falme ya Dorne. Ambapo ni kwao na Martell family
- 9 Voyages: itakua inamuhusu Corlys Velaryon aka Sea Snake tumemuona kwenye House of Dragons.
- The Tales of Dunk and Egg: Hii itakua inamuhusu Lord Commander Ser Duncan (Dunk) na Aegon V (Egg)
10 tu.Hivi season 1 itakua na episode ngap
Mpaka sasa HBO wameshaapprove mbili ya John snow na 10,000 shipsDuh!! Wenzetu wanajipanga . Ngona tukae mkao wakula
I am so glad they kept it, coz it was literally the best scene everThe Crown falling off King Viserys head was an accident while shooting episode 8 of #HouseOfTheDragon , Matt picked it up, and placed it on Paddy’s head & they liked it and kept it in.
AemondEpisode 8
Rate: 9/10
The King jamani sio kwa kukonda kule nimejisikia vibaya sanaaaa,
Yule Dogo mwenye jicho moja mzinguaji sana,
Next episode itakua [emoji91][emoji91]
Ya John swon nina imani itakuwa kaliMpaka sasa HBO wameshaapprove mbili ya John snow na 10,000 ships