House of the Dragon Special thread

House of the Dragon Special thread

Nimemaliza got.....nataka nianze hii
Acha wazungu waendelee kunipotezea tu muda, hamna namna 🤣😂

Kwa sababu hizi series zina balaa
 
Mwamba Aemond!
IMG_1246.jpeg
 
Episode 10

Rate: 09/10

Nimeumia sana yule dogo kufa japo nilihisi angekufa hasa pale alipomshika mama ake mkono,

Queen Rhaenyra kama hatopata sababu ya Vita atanikera sanaa,

Criston Cole ulituambia Rhaenyra hatoboi season 2 umeona sasa ngoma ndio kwaaaanza imeanza,
Aemond hana maisha.
Kama watafuata plot ya kwenye kitabu Queen Rhaenyra atauliwa kikatili sana na Aegon II, Aemond atakufa lakini katika mchakato wa kumuua Daemon atakufa pia.
 
S 01 ilikua ya hovyo mnoo, ila kuna watu wanakwambia inapelekana na GOT 😂😂😂.

S 01 ya GOT Haikua boring vile.
 
Back
Top Bottom