cash_money
Member
- Mar 18, 2017
- 42
- 19
Ukijenga nyumba ili upangishe inahitaji moyo yaani unasubiri 10 yrs ku break even
Hata mi nimeshangaa asee,,huko kimara nishawahi panga booonge la nyumba lina vyumba vi3 na kila kitu ndan kwa laki 2 tuu za kitanzaniaLaki 5?? Tena Kimara kwenye miinuko vile? Labda ufanye laki 3 utapata wateja fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki 5?? Tena Kimara kwenye miinuko vile? Labda ufanye laki 3 utapata wateja fasta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na usasa wa nyumba mkuu, mara nyingi huwa napangisha kwa hyo bei tena zinagombaniwa.hata laki 3 kwa kimara hupati mteja haraka haraka..
nyumba zinazopata wapangaji haraka haraka ni nyumba ndogo ndogo.. za chumba na sebule..
Mitaa ipi na mwaka gani?kimara ya sasa c ya miaka ile mkuuHata mi nimeshangaa asee,,huko kimara nishawahi panga booonge la nyumba lina vyumba vi3 na kila kitu ndan kwa laki 2 tuu za kitanzania
Ukijenga nyumba ili upangishe inahitaji moyo yaani unasubiri 10 yrs ku break even
hata laki 3 kwa kimara hupati mteja haraka haraka..
nyumba zinazopata wapangaji haraka haraka ni nyumba ndogo ndogo.. za chumba na sebule..