House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

House4Rent HOUSE4RENT-KIMARA STOP OVER

cash_money

Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
42
Reaction score
19
Tsh500000

Hizi ni apartments 2 mpya kabisa,ina vyumba 4 vya kulala,viwili ni master,jiko na sebule kubwa sana,umeme na maji ni vya kujitegemea,nyumba IPO kimara stop over upande wa kulia ukitokea mjini,umbali wa kilomita moja kutoka main road,bei ni 500k×6 tupigie 0759787679
IMG-20180823-WA0019.jpg
IMG-20180823-WA0020.jpg
IMG-20180823-WA0012.jpg
IMG-20180823-WA0014.jpg
IMG-20180823-WA0015.jpg
IMG-20180823-WA0003.jpg
IMG-20180823-WA0009.jpg
IMG-20180823-WA0004.jpg
IMG-20180823-WA0000.jpg
IMG-20180823-WA0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20180823-WA0022.jpg
    IMG-20180823-WA0022.jpg
    106.4 KB · Views: 23
But the risk is small and it offers safe return.
Niliwahi kununua gari ya biashara 22M cash na haikumaliza mwezi barabarani. Ningekuwa nimejenga vyumba viwili sasa hivi ningekuwa nakula kodi perpertually.
Ukijenga nyumba ili upangishe inahitaji moyo yaani unasubiri 10 yrs ku break even
 
hata laki 3 kwa kimara hupati mteja haraka haraka..
nyumba zinazopata wapangaji haraka haraka ni nyumba ndogo ndogo.. za chumba na sebule..

Kaka hii biashara ya chumba sebule yaani Kama studio apartment inalipa? Nataka nijikite kwenye hiyo has a target market Hawa mabachelor wezangu na mabodaboda.
Kodi zinaendaje?
 
Back
Top Bottom