Houseboy achomwa kisu na bosi wake baada ya kufumaniwa na mke

Houseboy achomwa kisu na bosi wake baada ya kufumaniwa na mke

... na mali yako yote. Kisha wakuajiri kama house boy. Alafu ndio uwe unasikia kilio kwa mbaaali, cha mke wako 'akitumbuliwa jipu'. [emoji1]
😞 😞 😵😱Duh, nimejikuta mwili wote unanisisimka...

Boss, tufanye collabo tuandike script ya movie moja babkubwa ya Nollywood. [emoji38]
😀😀😀Haha... Itaandikwa "Based on true story"...
 
Huyu mwanaume naye kwanini anasahau sahau kitambulisho cha kazi??
 
Hehehe haya mambo bana, kibarua asiishi karibu na kwangu na awe anakuja kazi nikiwemo, kama sipo aishie mbali.
La sivyo tumuajiri mwanamke, si wanawake mnasema mnaweza hata kazi za wanaume.
Tena penzi la house boy ni mumo kwa mumo kwenye self contained, watu wanasema Sky mtulivu hatoki ndani kwake. Kumbee
 
Tena penzi la house boy ni mumo kwa mumo kwenye self contained, watu wanasema Sky mtulivu hatoki ndani kwake. Kumbee

Hizi ndoa hizi, baba naye na kitambi chote anapatikana kwenye chumba cha dada wa kazi usiku anahema kweli kweli....
 
Angeheshimu ndoa yake jamani . Tamaa ni kitu kibaya ila madara yake ni makubwa
Mtoto wa Mfalme Helode, kumbuka uhanga ni janga kubwa sana. Ukiwa na uhanga hata mbuzi unaweza kumpanda. Tumsamehe tu ila tujifunze kujaribu kujikontroll tukipandwa na uhanga
 
Mtoto wa Mfalme Helode, kumbuka uhanga ni janga kubwa sana. Ukiwa na uhanga hata mbuzi unaweza kumpanda. Tumsamehe tu ila tujifunze kujaribu kujikontroll tukipandwa na uhanga
kujiendekeza tuuu, sikuzote tunapenda singizia shetani na mambo mengine yasiyo elelweka
 


Maisha ya kibarua mmoja (house boy) katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya yako hatarini baada ya kuchomwa kisu na mwanaume ambaye alimkuta kitandani na mkewe.

Inadaiwa kuwa mume huyo alikuwa ameondoka nyumbani kuelekea kazini Jumatatu asubuhi, lakini akagundua alikuwa amesahau kitambulisho.

Hata hivyo, aliporejea nyumbani alishangaa kumkuta mfanyakazi huyo kitandani na mkewe, ndipo akapandwa na hasira na kuchukua kisu, akamdunga mikononi na sehemu nyingine za mwili, akimsababishia majeraha tele mwilini.

Mshukiwa alipiga mayowe akitafuta msaadaa, mayowe yake yaliwashtua wakazi wengi ambao walimwokoa na kumkimbiza katika hospitali ya binafsi ya White Rose, ambapo bado anatibiwa baada ya kushonwa majeraha.

Mume husika alikamatwa na polisi wa utawala eneo hilo na bado anazuiliwa akihojiwa, wakazi wakisema alikuwa karibu kumuua mfanyakazi huyo.
Sawa tu kama mudawote unajifanya ukobusy na kidonda chakudumu hukisugui kutoa usaha,afanyaje
 
Huu mkasa umenikumbusha kisa cha mpangaji mwenzangu ambaye alikuwa akitoka tu alfajiri kuwahi kazini, mpangaji mwingine anaingia chumbani kwake kujipatia 'morning glory' na mke wa jamaa!
 
Uhanga kwa akinamama usiombe kusikia. Huoni hata hapa uhanga ukiwapanda akina Demiss katoto kazuri NAKWEDE n.k. wanavyoanzisha sredi zisizo na miguu wala kichwa za kiuhanga
😁 😁 kweli mkuu ila dawa ni kujilinda na kuwa makini mtu asifike huko hasa ka anamtu wake. but exception zipo ila sipenddi zitetea
 
Back
Top Bottom