Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Awe kijana asiyezidi miaka 22
- Awe anajituma kwenye kazi
- Awe na nidhamu
- Anayefanya kazi kwa kujisimamia mwenyewe
- Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne
- Kazi yake ni kufanya usafi wa mazingira na kuhakikisha kila siku mazingira yako safi
- Awe ana upeo wa kuona mbali kibiashara kutokana na mazingira aliyopo
- Awe anashauku ya kujifunza vitu vipya hasa program za kompyuta n.k pale atakapotakiwa kujifunza
- Awe tayari pia kusafiri mkoa kwa mkoa pale atakapohitajika
- Eneo la kazi ni Dar es Salaam
Mrejesho
- Ameshapatikana