Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Wiyelelee

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
1,071
Reaction score
348
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).

Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.

Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.

Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
 
Kaka huko unakotaka kuelekea sio kwenyewe. Hivyo ambavyo unavyotaka akufanyie ni bora ukakaa nae (Mkeo) na kumweleza kwa kina kuhusu hisia zako na sio kuanza kusema eti unataka ampishe HG. Kwanza huo ni Ufataki na pili ni unyanyasaji coz wewe unatumia nafasi yako kama mwajiri kutaka kumrubuni huyo HG wako.

KWANZA JIULIZE MPO WANGAPI? TAFAKARI
 

Mi nadhani ningeweza kumrubuni wakati anatafuta kazi na sio baada ya kuanza kufanya kazi.
 
Mimi naona unaend kombo coz ulivyokua haujaoa ulimpenda sana mkeo, baada ya siku zilivyokua zinaenda wewe ulikuza mapenzi kwa mkeo na sasa unaanza kumtaman HG kisa mkeo hafanyi chochote kwako. Ila kaa tafakari kwan kabla haujamleta huyo HG nani aliyekua anafanya hizo kazi na pia hizo ni tamaa za mwili inabidi ujikeep bize ili ufutilie mbali hisia za kipuuzi.
HUO NI USHAURI WANGU.
 
kama uko serious then haukuwa na sababu ya kuoa at first place.
 
shetani wako mweusi

Inaelekea wewe ni Mzee ila ninachokuambia ni kwamba mwanamke wa design ulienae sio kama hawa wa leo. Wa zamani waliheshim ndoa zao na "kumtukuza mwanamme kadri wawezavyo". Wasasa kazi ni kutazama DSTV tu na kujiremba kucha kama nao wapiga rangi!
 
It seems to me humpendi mkeo na unashindwa kumuacha so unakuja kutafuta visingizio hapa jamvini. Mwambie unavyojisikia ili abadilike, kaa kimya na vumilia uishi nae au mwache. its up to you
 
We kwakweli ni tatizo hapo mtaani,baada ya harakati za kumrudia gf wako wazamani ambaye ni mke wa mtu now umehamia kwa hg,ukitoka kwa hg utahamia kwa shemeji,ukitoka kwa shemeji utaenda kwa mdogo wake shemeji,ukitoka kwa mdogo wake shemeji utahamia kwa rafiki wa mdogo wa shemeji.Matatizo ya ndoa hayatatuliwi kwa kuacha mke au mme vinginevyo watu wangekuwa wanaoa/olewa kama mara 40 kabla maisha yao hayajaisha hapa duniani.
 

Mi nitaishia hapa kwa HG tu and that line of chain you have indicated is your own imagination. We sail through various waves before we finally get settled and that is the moment i am now going through!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…