Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
We ushakufa huku watembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You might be having hard time in your marriage life but I don't think if that option on your mind will bring the best results.Try to see the positive side of your wife as no one is perfect 100%,the same applies to her,you are not completely perfect to her.Let me as you one question,you have been together for how long now?
...uzinzi mchanganyiko ndo unakusumbua.....
Nani anyempokea mizigo mkeo? Nani anayemfulia na kumwandalia viatu? Kwa hiyo nae ampende hausigirl waanze kusagana?
Kuna umuhimu wa kuwapima akili wanaume wa siku hizi kabla ya kukubali kuolewa.....
Unahitaji mamombi ndugu yangu....Kumwacha mkeo eti HG anakutamanishaaa????!!!!
Acha tamaa mbaya kwani huyo hg ana nini ambacho mkeo hana? Kama ni kukufanyia hivyo vyote si ukae nae muongee? Au humpendi? Kila binadamu ana mapungufu yake hata ww una yako anakuvumilia tu.
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
mkuu Wiyelele, namwomba mkeo nikae naye walau mwezi mmoja ili nimfundishe na kumuelekeza namna ya kuishi na mumewe kwani wewe umeshindwa na badala yake wewe umemuelekeza housegirl yale ambayo ulipaswa umuelekeze mkeo ili ayafanye!!
ndugu yangu naomba ukue, achana na tamaa za mwili zitakugharimu, ohoooooooooooooooooooooooooo!!!
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
We kwakweli ni tatizo hapo mtaani,baada ya harakati za kumrudia gf wako wazamani ambaye ni mke wa mtu now umehamia kwa hg,ukitoka kwa hg utahamia kwa shemeji,ukitoka kwa shemeji utaenda kwa mdogo wake shemeji,ukitoka kwa mdogo wake shemeji utahamia kwa rafiki wa mdogo wa shemeji.Matatizo ya ndoa hayatatuliwi kwa kuacha mke au mme vinginevyo watu wangekuwa wanaoa/olewa kama mara 40 kabla maisha yao hayajaisha hapa duniani.
Mkuu, kama ingekuwa hujaoa na umebahatika kuwa na house girl wa aina hiyo, wala isingekuwa tatizo, mngesaidiana zaidi kwa kuoana. Ila sasa kama unataka kudharauliwa na jamii, basi fanikisha janga la kumfanya mkeo ampishe huyo house girl, hata kama mtaachana kwa sasa, uamuzi wa kumchukua house girl kama mwenza kuanzia sasa ni balaa itakayokuletea dharau kubwa sana. Ni mtazamo!Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.