muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Tamaa zipi mbona hapa umeanza kutamani na wewe? Hapa nimeleta mzigo uli niutue!
be serious my friend, tamaa za kimwili umeziweka sana mbele! mara kinakuuma sana x-girlfriend wako sijui anateswa wakati tayari ni mke wa mtu! je, mke wako umemuoa kwa bahati mbaya au kwa kulazimishwa mkuu? ulimpenda ndo maana ukaachana na wengine wote na yeye kumpa nafasi ya pekee, kuwa mwenzi katika maisha yako!
ya x-girlfriend yameisha japo kiroho kinakudunda unaleta swala la housegirl!!! ama umekuja kutania na kuchezea muda wa 'magreat thinkers'? u have to be serious buddy?!
Achana na mambo hayo, ndoa si mteremko!! usidhani mambo huwa shwari siku zotem, ukumbuke good moments alizowahi kukupatia mkeo mkuu Wiyelele!! habari ndio hiyo kaka!
Last edited by a moderator: