Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Sikiliza nikuambie ndugu yangu, house girl ni mwanamke kama wanawake wengine. Kama umempenda na unamtaka wewe amua kama roho yako inavyokutuma. Kama huyo mkeo hutaki kuendelea nae tena, mwambie ukweli wake. Wewe hutakuwa wa kwanza kutembea na house girl. Watu wengi sana duniani wamelala na mahouse girl wao. Mfano mzuri soma kwenye Biblia utaona kuna watu maarufu sana, lakini mwisho wa siku waliishia kulala na mahouse girl wao. Tena sio kulala nao tu, walizaa nao watoto kabisa. Watu hao ni pamoja na Yakobo, Mfalme Suleimani, Abraham, na wengine wengi tu! Lakini kumbuka siku ya mwisho MUNGU atatoa hukumu yake kwa kila tendo ovu utakalokuwa umetenda hapa duniani.
 
funguka kwa mkeo jinsi unavyojisikia na unavyomtamani house girl wako, nadhani atajirekebisha. tatizo ni pale unapoogopa kumwambia ukweli then unaumia moyoni sema nae mkuu au unaogopa ngumi?
 
Kwani huyo mke ulitafutiwa au ilikuwaje???? wewe mda wa kuoa bado!!!!hizo tamaa zitakuponza ex-girl friend kaolewa bado tu unamuonea huruma kwani wako huyo??????? tulizana hawaishi hao unayeisha ni wewe! ALAA!!!!
 
Wanaume mnapenda ubwanyenye.....kama housemaid yupo kwanini yeye afanye yote hayo. Na kwanini kila mmoja asijihudumie mwenyewe ikilazimu. Wataka shoeshine na kupigiwa pasi umesahau mama huyo huyo naye ni mtumishi akirudi amechoka na bado usiku unataka huduma ?

Uzuri wa housemaid haikupi kibali cha kumover take huyo mama.
 
wala usihangaike, we jabiru uone ndo utayaona makeke ya mkeo. hapo mkeo naye keshamuona mwanaume mzuri kuliko wewe na pengine ameshafanya naye akaona anayaweza kuliko wewe, ukitaka kuona uzuri wa mwanamke, muache....atakapopapatikiwa na wanaume wengine na kusuguliwa na kupigwa urembo ndo utamtamani na hautampata tena. mwanamke hata kama ni mubaya namna gani, ukimwacha huwa hakosi mwanaume mpya wa kuwa naye. hivyo usione kama mkeo peke yake ndo anakuhitaji wewe, wewe pia unamhitaji sana sana...zaidi ya yote, wanawake wote walewale tu, wako sawa tu. nasema ukweli toka moyoni, kwasasa mimi nimepunguza na niseme kama nimeacha kabisa...ila, kuna kipindi nilishawahi kufanya mapenzi hadi nilikuwa naogopa kama mbegu zangu zitaisha zote, karibia kila siku nilikuwa nalala na mwanamke mpya...nililala na warefu, wafupi, wembamba, wanene, wazuriii, wenye sura mbaya, wengine wembamba ukiwashika tu makalio umeshashika na vajay,...aina zote. nilikuwa mbali na mke wangu, hivyo simu yangu ilikuwa busy ajabu muda wote, na zaidi ya wanawake zaidi ya kumi hata ishirini hakuna hata aliyejua kuwa nina mtu, wote niliweza kuwawekea ratiba....nimeona k za kila aina, zenye mashavu marefu, mashavu mafupi, pana, nene, zilizokauka, zilizosinyaa, zinazopwaya, mnato etc.

lakini katika wanawake wote hao, wale wazuriii ndo walikuwa na mashine mbaya kuliko wale wa kawaida au wale wenye sura mbaya. kuna mmoja nilimchukua, ana sura nzuriiiii, yaani ni mzuri halafu umbo namba nane....lakini huku chini k inakaa muda wote iko wazi haijafumba mdomo...niliingia chumvini nikapata kichefuchefu wiki nzima hadi leo hii sitaki hata kumuona....USIANGALIE SURA YA HUYO HOUSEGIRL, anaweza kuwa mzuri lakini asimzidi mkeo kwa uthamani etc. mkeo atakuthamini kwa dhati, si kama huyo kipita njia.
 
Kuna uwezekano house G hatakupenda bali atajilazimisha kwasababu ni bos wake then siku akipata mwanya, wenzako watachukua. Baki na mkeo, ukishndwa mpe karatas tatu, kwao. Then tafuta jiko jingine. Kuna uwezekano mkeo alitegemea kupata ki2 flan au maisha flan zaid ya hayo na sasa amegundua alichemka hvyo anatafuta sababu ya kutokea, ongea nae akupe majibu ili msipoteze muda..!!
 

Ulisoma chuo gani maana hujui analysis?
 
Unamapepo wewe nenda nyumba za idada ukemee mapepo uliyonayo, i think mojawapo ni pepo la ngono.hujui hata maana ya mke v/s house girl?
 

I salute you! We umenipiku kabisa! You are far more experienced than i could imagine! Du! dunia hii unaweza kusema kuwa umechakachua kumbe hata nukta hujaianza! Well done man!
 
Unamapepo wewe nenda nyumba za idada ukemee mapepo uliyonayo, i think mojawapo ni pepo la ngono.hujui hata maana ya mke v/s house girl?

Mi sina pepo kama ingekuwa hivyo basi kila mwanaume analo hata wewe lipo! Ulizaliwaje isingekuwa hilo pepo?
 

Si ndo maana nataka asishie kama amekikosa? By the way, yeye amekikosa na HG anakipata!
 

NJoo ufanyiwe Maombi! Una matatizo, wewe una mke halafu unataka umvamie house girl, akija kukubadilikia ni noma, halafu ukianza uhusiano n a house girl mke wako atadharauliwa na house girl halafu ndiyo utajua ukitoka kazini uende wapi.......................njoo ufanyiwe Maombi ni pepo hilo
 

Umeona jitihada nilizozifanya? Hata huko kwenye maombi nilikwenda na hajabadilika! Sasa ni kutesa kwa zama. HG is a common name, the proper name is the lady behind that name whose beauty is so appealing! Kwa hiyo tusiwadharau hawa watu ma HG coz they sooth in times of problems
 

We acha kuwadanganya wanawake wenzio wakati hufanyi hvyo kwa mmeo! Do u tell us that mme wako anajifanyia kila kitu? Then why did he marry u in the first place? Nadhan hizo ni perceptions and i dont think u are married.
 

Najua HG atanipenda kwa dhati coz nae anajua nateseka! I am the bread winner, kwann nishindwe kufurahia maisha?
 
Sema na moyo wako kaka hao HG ndio mambo zao kujifanya wazuri sana kwa ma boss wao na wewe unakua hushindi nyumbani sasa kukuzuga akili yako ni rahisi sana umuone mzuri,as long as ni mfanya kazi wako basi abakie hivyo,utamuumiza sana mkeo na sio vizuri wewe ni Baba na iko siku utapata mkwe jee mwanao akaifanyiwa hayo unayoyafikiria kumfanyia mkeo utafurahia?
 

Ndugu yangu kama ndoa ina matatizo just solve it, but don't run away from it.....hebu piga picha mke wako anakukuta upo na house girl itakuwaje? acha kutafuta moto usiozimika, ushinde ubaya kwa wema....achana na house girl, vinginevyo kama imani yako inaruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…