BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Umejitahidi kadri ya uwezo wako katika kuinusuru ndoa yako ikiwemo kwenda kuomba msaada kwa wazazi wa mwenzio, kuongea naye na pia kwenda kuwaona wazee wa kanisa. Binadamu tunatakiwa tujiletee raha katika maisha yetu pale ambapo mazingira yanastahili kufanya hivyo. Wengine humu wanakuzodoa lakini ingekuwa wao hizo juhudi ulizofanya wewe wala wasingezifanya bali wangepiga chini haraka sana na kuendelea na raha zao.
Maisha yenyewe mafupi haya labda huyo mkeo ukiamua kuachana naye atatia akili kichwani mwake na kujua kwamba hakuna wa kumlaumu kuhusu kuvunjika kwa ndoa yenu ila yeye mwenyewe maana umejaribu kumpa nafasi chungu nzima za kubadili tabia zake zinazokukera bila mafanikio yake. Jiwahi na huyo binti mrembo hapo nyumbani kwako kwa kumpa promotion kubwa sana ya kutoka HG na kuwa Mother House kabla wenzio hawajakuwahi.