Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Hatua ya kwanza jitibu wewe...Ukishamaliza, utakuta mkeo 'kishapona' zamani !!
'Kapona' hata kabla ya wewe 'kupona' !!!
Soma hapa:-
01 Petro 03:07-09 inasema...
7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.
8 Neno la mwisho ni hili; mwe na nia moja, wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu;
9 watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.
Kwani babu yetu Abrahamu alivyotaka kumtoa sadaka mwanaye yule alimzaa na nani vile?