Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Mhh the world is not fair.. ww una tamaa.. im sure by the moment unampenda mkeo she was cute.. bt umeshamchosha sasa unataka hg.. not gud...
 
house girl, house girl, house girls song of the month....hakuna jipya kuhusu mapenzi tuelimishane...Huu wanja wa kuelimishana kuhusu mapenzi...Tushaongelea sana hawa ma HG
 
Unataka tukushauri nini wakati huo mstari wa mwisho una majibu yote???
 
Nishajua tatizo lako. Unajini anaitwa JINI Mashamsham.
 
inaonekana huna mapenzi na mkeo na sijui ni kwanini ulimuoa in first place...mbona hayo mapungufu uliyoyataja hapo huu yanazungumzika na km ni wa kubadilika mbona ataweza tu? kwanini 'usimfunde' mkeo mwambie yote unayotaka awe anakufanyia...wengine hadi wakurupushwe jmn sio wote wana uelewa unaohisi labda mwezako anao...utajuta baba waweza ona anakufaa huyo hg mara ukimuweka ndani ni yaleyale tena mara mia.....na kukuletea labda hata michepuko humohumo ndani...kuwa makini hayo ya mkeo mi naona sio ishu ya kukuumiza sana kichwa kwa kuwa YANAZUNGUMZIKA
 
Huoni haya kumsema vibaya mkeo wakati we mchafu no1 kutembea na mke wa mtu halafu umeoa! sasa umemaliza nje unataka kuhamia kwa house girl eti ana mvuto zaidi! Naye akichoka utahamia kwa binti yako wa kwanza akiwa darasa la sita!
Shame on you!
 
mmmmh!!! hi kali ya mwaka! mwmbie mkeo km ulivyoandika hapa hope utapata suluhisho murua.
 
Asante kwa ushauri wako, ila nshaokoka na sasa ni kiumbe kipya!
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…