Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Two wrongs do not make it right
Mwanamke ni aibu sana kutembea na dereva wa familia au house boy kwani fedheha sana.Mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme na ndiyo maana Mfalme Selemani alikuwa na wake 1000, ndio maana Sarah alimruhusu Ibrahim atembee na mjakazi wake (House girl wake).Suala kama hilo akifanya mwanamke ni aibu kubwa sana, Ulishawahi kusikia mwanamke ameolewa na wanaume wawili?Ilishatokea kenya tu tena waoaji walionekana kama nia matahira.Ndugu zetu waislamu wao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja, Wakurya, wasukuma nao wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja.
Kama mwanamke hujitambui vyema si vibaya ukasaidiwa maana wanawake wengi wakishaolewa na kuzaa basi wanaona wamemaliza kila kitu.
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).
Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.
Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.