Wiyelelee
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 1,071
- 348
- Thread starter
- #341
we mkaka lakini kaah, watu wanajifunza nini kwako bana
Wanajifunza kwamba mwanamke mwenye kibuli na asiejua wajibu wake kama mke muachilie mbali. Kama bahati nyingine zikitokea pale ambapo umepata shida zikimbilie haraka maana bahati haiji mara mbili.
