Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

Wewe badala ya kushauri unaanza kuuliza tarehe za kuzaliwa, wewe ni Mganga wa kienyeji? Halafu ukishajua ndo utazame kwenye tunguli halafu utoe ushauri aaaaa wapi na wapi hapo?

ok well,kwa hiyo ktk yote niliyosema wewe umeona la tarehe tu?hujaona kingine chochote kinachoweza kuwa muhimu kama ushauri?nikusaidieje kama mambo mepesi unashindwa kuyaona...utaweza mambo ya mahusiano yanayohitaji busara na akili za hali ya juu?

nakuuliza swali lingine!umeishi na baba yako mpaka wakati unaoa?nataka nijue mchango wa mzazi wako wa kiume ktk malezi yako!niwe wazi tu ndugu yangu.....umepungukiwa sana qualities za kiume!no offence
 
Wewe unataka info kutoka kwangu halafu unaniponda tena? Umesema nimepungukiwa qualities za kiume (wakati ninazo tele)
 
Ndo hapo sasa Kaunga...Total confusion of minds in the continent called Africa. I can't believe what we think when we allow ourselves to sleep with housegirls...I mean how is it possible when you stay with the family in the same house? Duuuh!

Ukiangalia uandishi wa huyu jamaa nimeona kama anafanya mchezo hapa hana lolote kupoteza tu wakati
 
Mi simfukuzi HG wangu na sio kwamba kwa vile ni HG ni mtoto la hasha! Ana miaka 30! Kuhusu mke wangu, anadanganyika na elimu aliyonayo ambayo inampa kiburi. Mi namzidi kiwango cha elimu lakini ana nyodo za ajabu! Nikiwa narudi home (kwa vile yeye anatangulia kurudi) kila apigapo simu unakuta first question "UKO WAPI?) sasa utasema anaakili timamu huyu? Halafu sawa nikifika unamkuta amejikali kwenye TV kama mshamba! Haniwekei chakula mezani except huyu HG! Sasa mke huyu wa nini wewe?

LOL! Believe it or not I understand what you mean now. Unataka mtu active anayefanya na HG badala ya kufanyiwa kila kitu. Mwanamke anayekuwa involved katika activities za nyumbani badala ya kuorder wengine wafanye. You know what, I now see what you mean. Ila mtu aliye lege hivyo sidhani after FOUR years sasa ndo utaweza kum convince aache kochi akuattend. May I make a suggestion? Naomba umnunulie kitabu cha Steve Harvey "Act Like a lady, Think like a Man" Browse Inside Act Like a Lady, Think Like a Man: What Men Really Think About Love, Relationships, Intimacy, and Commitment by Steve Harvey i think it will help her but only if she is willing to change. You just have to communicate with her if you still need your marriage. Pole lakini.
PS - kitabu sasa hivi kanapatikana Novel Idea Bookshop ya Masaki na Mjini. Good luck
 
wakati unamwoa huyo mkeo, naye alikuwa mzuri tu kama unavyomwona HG wako sasa.
umepofushwa macho na tamaa zako mbaya......jaribu uone moto wake,
baada ya miaka 4, HG wenu(wewe na HG1) naye atakuwa mzuri kuliko HG1(-hg wa sasa, na mkeo wa wakati huo)
 
Ukiangalia uandishi wa huyu jamaa nimeona kama anafanya mchezo hapa hana lolote kupoteza tu wakati

Inawezekana kabisa Dena Amsi. Maana naona fahari kuutangazia ulimwengu ubaya wa mke wake...sasa nani hapo mwenye matatizo? Kwani bado tunalazimishwa kuoa tu hata tusiowapenda?
 
Inawezekana kabisa Dena Amsi. Maana naona fahari kuutangazia ulimwengu ubaya wa mke wake...sasa nani hapo mwenye matatizo? Kwani bado tunalazimishwa kuoa tu hata tusiowapenda?

Mi ningejua nisingeoa kabisa maana hapa pamoja na elimu yangu bado naonekana mie ndo nina matatizo ya kufikiri
 
wakati unamwoa huyo mkeo, naye alikuwa mzuri tu kama unavyomwona HG wako sasa.
umepofushwa macho na tamaa zako mbaya......jaribu uone moto wake,
baada ya miaka 4, HG wenu(wewe na HG1) naye atakuwa mzuri kuliko HG1(-hg wa sasa, na mkeo wa wakati huo)

Wala! Nikiwa na huyu HG sitahitaji HG mwingine.
 
Inawezekana kabisa Dena Amsi. Maana naona fahari kuutangazia ulimwengu ubaya wa mke wake...sasa nani hapo mwenye matatizo? Kwani bado tunalazimishwa kuoa tu hata tusiowapenda?

Ama majani ndo yanazungumza ha ha ha Ndahani ulimswanu wewe???
 
Nipe namba ya simu ya huyo HG, tafadhali usiniulize "eti nataka namba ya nini"
 
Housegirl anajeweka sokoni so she can have her own, she cant beki 3 u 4ever!

Lakini beki 3 si ni common name tu? HG wana majina yao yanayofanana na yale ya wengine. Halafu kimaumbile hawana tofauti na wale ambao ni wafanyakazi wenye elimu, they are like all others!
 
Ndo hapo sasa Kaunga...Total confusion of minds in the continent called Africa. I can't believe what we think when we allow ourselves to sleep with housegirls...I mean how is it possible when you stay with the family in the same house? Duuuh!

Kaka, Kuna watu wamechunwa uso na dhamira zao zimekufa!
Hatusemi kuwa watu ni malaika incapable of being tempted na kuanguka dhambini, ila hili la watu kulala na ma HGs huwa linaleta fedheha sana kwenye familia.Halafu watoto wa wahusika wakiwa watovu wa adabu wazazi wanashangaa?
 
Back
Top Bottom