Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Wewe badala ya kushauri unaanza kuuliza tarehe za kuzaliwa, wewe ni Mganga wa kienyeji? Halafu ukishajua ndo utazame kwenye tunguli halafu utoe ushauri aaaaa wapi na wapi hapo?
ok well,kwa hiyo ktk yote niliyosema wewe umeona la tarehe tu?hujaona kingine chochote kinachoweza kuwa muhimu kama ushauri?nikusaidieje kama mambo mepesi unashindwa kuyaona...utaweza mambo ya mahusiano yanayohitaji busara na akili za hali ya juu?
nakuuliza swali lingine!umeishi na baba yako mpaka wakati unaoa?nataka nijue mchango wa mzazi wako wa kiume ktk malezi yako!niwe wazi tu ndugu yangu.....umepungukiwa sana qualities za kiume!no offence