Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Vijana wa siku hizi kelele nyingi action kidogo...
Wanaanza oohhh Castle Lite zinapunguza nguvu kumbe wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa siku hizi kelele nyingi action kidogo...
Kaka, Kuna watu wamechunwa uso na dhamira zao zimekufa!
Hatusemi kuwa watu ni malaika incapable of being tempted na kuanguka dhambini, ila hili la watu kulala na ma HGs huwa linaleta fedheha sana kwenye familia.Halafu watoto wa wahusika wakiwa watovu wa adabu wazazi wanashangaa?
Kaka, Kuna watu wamechunwa uso na dhamira zao zimekufa!
Hatusemi kuwa watu ni malaika incapable of being tempted na kuanguka dhambini, ila hili la watu kulala na ma HGs huwa linaleta fedheha sana kwenye familia.Halafu watoto wa wahusika wakiwa watovu wa adabu wazazi wanashangaa?
Wanaanza oohhh Castle Lite zinapunguza nguvu kumbe wapi
Teh teh teh...kwahiyo hiyo biashara inayoendelea wala isikusumbue. Ni kupakana shombo tu.
Mimi nishajizeekea zangu wala siwataki hawa vitoto vya dot.com
tatizo lenu ni jina la HG na sio mtu. Je angekuwa ni msichana wa kawaida yawezekana mngeniunga mkono ila kwakuwa ni HG mnaponda. Hilo ni kosa kubwa sana. HG ni binadamu kama wewe, anayo mahitaji yake kama yako! Anatabasamu, kucheka na ucheshi kama wewe! Shida yake ni kwamba hana elimu kama yako ndo maana amekubali kujishusha. Huyu HG ana miaka 30 na anafaa kabisa kuwa na ndoa sema eti anabaguliwa kwa vile ni HG! Jamani akili gani hiyo? Ina maana wewe kusali kwako kooote bado unaendeleza ubaguzi kwa ma HG?
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa).
Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl.
Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Unajua Wiyelele, Ishu siyo title - HG ingeweza pia kuwa CEO. Pia nakubali kabisa kuwa HG ni mtu kama mimi na mahitaji yake na kila kitu. HILO HALINA UBISHI/MGOGORO.
Tatizo ni utovu wa maadili.Huyo HG anakaa nyumbani kwako, wewe na mkeo mnamwagiza kazi za kufanya. Pengine kutegemeana na utendaji wake na umri wake mkeo inabidi kumkaripia kama ambavyo hata wewe mwajiri wako anaweza kukukaripia ufanyapo kazi zako vibaya. Kumbe mkiwa faragha, wewe unamponda mkeo mbele yake - ACHANA NA HUYO VUVUZELA MPENZI!
Kama nakuona vile! Je unadhani watoto wako watakuheshimu wakijua? Ba kwa taarifa, watoto wana sense huo upuuzi hata wakiwa wadogo vipi.
hizi ni tabia za fisi maji ambazo ni hatari sana.
utakuwa ulidhamiria kufanya haya toka mwanzo
Mhhh! Iron Lady kama kawa anaanza na kunifulumshia maneno! We mwanamke wewe mbona umefanana na mke wangu? Sina dhamira hata kidogo, mke wangu akijirudi hadi leo nitarudisha moyo wangu.
Mhhh! Iron Lady kama kawa anaanza na kunifulumshia maneno! We mwanamke wewe mbona umefanana na mke wangu? Sina dhamira hata kidogo, mke wangu akijirudi hadi leo nitarudisha moyo wangu.
kama kweli unachoandika ni uko serious, basi hayo matatizo unayoyaona kwa mkeo ni "reflfction" of who you are and what you do to her, most of times if we show love to them they do reflect it back to us na tusipofanya hivyo tutakutana na kinyume chake, naomba ujiulize maswali kadhaa, lini ulimwambia mkeo unampenda? lini ulimletea zawadi au nguo? lini uliongea naye kuhusu mambo yake binafsi au ofisini? lini ulimpa out? lini ulimpa chance kukushauri ? na unadhani anajisikia yupo na mume anayempenda?
we unaonekana kabisa unatamaa ndio maana unamsifia HG na kumdanganyia mkeo mambo hapa jukwaani. hata hivyo tuna hakika gani kama mkeo kweli anafanya hayo uliyoyasema kama sio unataka kumtia ubaya. kama kweli mkalishe chini mfunze au na wewe utakuwa unamatatizo ndio maana anakuwa hivyo alivyo.
Kwani Ng'ombe anazeeka maini? Hao si ndo wanachangamsha damu inarudi kule kwenye miaka kumi na mbili na robo?