moto2012
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 2,271
- 1,493
Unajua nini wanawake wazuri hawaishi utamuacha huyo mkeo utamchukua beki tatu atatokea mwanamke mzuri kushinda huyo beki tatu cha msingi we ridhika na huyo mkeo la sivyo utaacha wanawake wote na bado usiridhike.
tena huyo beki tatu unaweza ukaanza kumzodoa eti hajenda shule, wakija washikaji zako hata wakiomba maji ya kunywa hawezi kuwapa.
kwani huyo waifu wako ulishawahi kaa na zungumza naye juu ya wajibu wake kwako, na kipi ungependelea akufanyie lakini hupati kwake?
Huyo beki tatu ameshausoma mchezo hapo house (sio home) kwako, ukijichangaya tu, she can be the worst thing you have ever thought