Housegirl ananilazimisha tufanye mapenzi

Housegirl ananilazimisha tufanye mapenzi

tukiacha kwamba ni mada yake, kiukweli familia nyingi haziwapi housegeli mda wa kutoka ata mara moja.utakuta kamchukuwa kwao akiwa na miaka 12, anakaa nae mpaka miaka 18> apo kumbuka yule ni binti mwaili unachemka sio kwamba lazima afanye apana ata ile kujichanganya na watu inatosha, sasa yote hayo hapati unategemea atafanya nini?? lazima atamtega yeyote wa kiume apo ndani.
Kwa asilimia kubwa vijana waliokulia kwota zilwe za polisi,jeshi au zile za walimu,wafanyakazi wa reli na wafanyakazi wengine wanaokaa sehemu moja, huwa wanachukuwa wasaidizi wa kazi na apo kama kuna kijana wa kiume huwa anajifunzia kwa housegeli mapenzi, hii ni prove baada kufanya utafiti kwa vijana waliokulia nyumba izo, baada ya kuwauliza watu wao wa kwanza kufanya nao mapenzi walikuwa wapi.
Hivyo kwa wewe ni kuwa makini na serious kama utaki, ila kama utashindwa nunua condom kaa nazo ikitokea akakubambanya kwenye angle, toa zana ili kujiepusha na mengi.
>> Kumbuka sasa ivi asomeshi wazazi<<<<
 
Mmh. Ukishaona mtu anakuja kutaka ushauri kwa kitu kilicho wazi lazima hapo kuna namna kama hajamla tayari basi yuko mbioni.

Kigumu nini hapo hadi utake ushauri khaa.

47yrs [emoji15] [emoji15] lol.
 
Eti ngoja niende kwa mada huyu hausigel wetu ananilazimisha tudoo mimi nimemwambia sitaki kila siku anakuja chumbani kwangu hadi anakera...msaada nifanyaje sasa au nimwambie mama si ndivyo
Hutaki kwa misingi ipi?
 
Nina wasiwasi na wewe.. Unaikataaje mbunye ya housegirl, isiyo na gharama yoyote, kisichopigwa na wengi.... Daah! Hapana.. Una kasoro kidogo!
 
Anakulazimisha au wew ndo unataka kuhalalisha hilo zoezi wew na huyo beki 3 wako. Cjawahi ckia beki 3 akililazimsha ngono labda kwa hii serikali ya magu maana mambo mengi yamebdlika .Ila mapnzi na house gel huwa yamuachi mtu salma hata ukitumia salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Ukishaona mtu anakuja kutaka ushauri kwa kitu kilicho wazi lazima hapo kuna namna kama hajamla tayari basi yuko mbioni.

Kigumu nini hapo hadi utake ushauri khaa.

47yrs [emoji15] [emoji15] lol.
Mimi sitaki tuu..
 
Back
Top Bottom