tukiacha kwamba ni mada yake, kiukweli familia nyingi haziwapi housegeli mda wa kutoka ata mara moja.utakuta kamchukuwa kwao akiwa na miaka 12, anakaa nae mpaka miaka 18> apo kumbuka yule ni binti mwaili unachemka sio kwamba lazima afanye apana ata ile kujichanganya na watu inatosha, sasa yote hayo hapati unategemea atafanya nini?? lazima atamtega yeyote wa kiume apo ndani.
Kwa asilimia kubwa vijana waliokulia kwota zilwe za polisi,jeshi au zile za walimu,wafanyakazi wa reli na wafanyakazi wengine wanaokaa sehemu moja, huwa wanachukuwa wasaidizi wa kazi na apo kama kuna kijana wa kiume huwa anajifunzia kwa housegeli mapenzi, hii ni prove baada kufanya utafiti kwa vijana waliokulia nyumba izo, baada ya kuwauliza watu wao wa kwanza kufanya nao mapenzi walikuwa wapi.
Hivyo kwa wewe ni kuwa makini na serious kama utaki, ila kama utashindwa nunua condom kaa nazo ikitokea akakubambanya kwenye angle, toa zana ili kujiepusha na mengi.
>> Kumbuka sasa ivi asomeshi wazazi<<<<