Houth huko Yemen bado wana kibarua kigumu sana!

Houth huko Yemen bado wana kibarua kigumu sana!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Majeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu.

Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na kuacha bilion vikiwa vimetanda kwenye maeneo yaliyoshambuliwa na majeshi hayo.!!!

Attachments

  • telegram_video.mp4
    3.9 MB
  • telegram_video.mp4
    7.6 MB
Ubalikiwe sana mtumish

Endelea kutushilikisha baraka na kutuhabalisha
Waongo wengi huko wanadanganya sana watu mara kuna ubaguzi mara unatemewa mate!!! Wafuga midevu na majini akili zao wa nazi juma wao wenyewe tu!!!!
 
USA isicheke na hao magaidi wapigwe kipigo cha mbwa mwizi wakaonane na mabikra 72 huko akhera, ghasia kabisa hao.
 
1745176797485.jpg
 
Back
Top Bottom